1 Peter 2:18

18 aNinyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali.
Copyright information for SwhKC